Mh kweli kua Uyaone mwanangu, nikazani magorofa au Magari kumbe ni maisha... Hata kama wanasema Shida zinapo zidi ndio unakalibia kufika kwe...
Anthony Martial: Mshambuliaji mpya Manchester United kutoka Monaco
Klabu ya Manchester United ilifanikiwa kufanya usajili wa dakika za mwisho kabla ya dirisha la usajili kufungwa na kumnyakua mshambuliaji mp...
Licha ya kustaafu soka Beckham amepewa Tuzo hii….(Pichaz)
Winga wa zamani wa timu ya taifa ya Uingereza na klabu ya Manchester United David Beckham usiku wa Septemba 1 alipewa Tuzo ya Heshima....
Shabiki wa West Ham Unite atia fora...
Kwa mujibu wa John High shabiki wa klabu ya West Ham United ya Uingereza amekiri kupitia ukurasa wake wa twitter kuwa ni miaka 52 sa...
Jordan Ayew kwenye kutoka kimapenzi na mke wa mchezaji mwenzake wa Ghana
Jordan Mshambuliaji mpya wa Aston Villa Jordan Ayew ambaye ni mdogo wa Andre Ayew ameingia katika headlines ya kutoka kimapenzi na mk...
Tottenham Hotspur wamsajili nyota huyu
Spurs imefanikiwa kumsajili winga mshambuliaji aliyekuwa katika klabu ya Bayer Leverkusen ya Ujerumani Son Heung-Min ambaye ni raia w...
SIMBA YAFUTA MKOSI WA 'SIMBA DAY'.....LEO KICHEKO TU....
Bao pekee la Awadh Juma limetosha kuipa ushindi klabu ya Simba dhidi ya SC Villa ya Uganda katika mechi ya kimataifa ya kirafiki iliyomalizi...
Manchester Utd vs Tottenham
Ligi kuu ya Uingereza imeanza rasmi leo hii na mchezo wa kwanza wa ligi hiyo maarufu zaidi duniani ulicheza baina ya vilabu vya Manchester U...
Simba Sports Club yapata kiungo mpya
Klabu ya soka ya Simba imeendelea kujizatiti kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania bara kwa kusajili wachezaji tofauti tofauti na sa...
TFF YAWEKA MSISITIZO AIRTEL RISING STARS
Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania Jackson Mmbando akiongea wakati wa ufunguzi wa semina elekezi ya Airtel Rising Stars kwa viongozi wa miko...
DR. TWAHA MWENYEKITI MPYA WA COASTAL UNION
Uchaguzi uliofanyika jana tarehe 5/7/2015 matokeo yalikuwa kama ifuatavyo: 1.MWENYEKITI: Jumla ya wapiga kura 207. Kura zilizopigwa 205. Kur...
Nigerian football star, Fikayo Tomori signs professional contract with Chelsea
The 17 year old defensive player, who was born in Canada, shared the good news on twitter. Congrats to him.
The Los Angeles Galaxy, FC Barcelona's first preseason opponent
The Californians are the current MLS champions and have signed Steven Gerrard as part of their bid to win the CONCACAF Champions League A mo...
How Messi, Mascherano and Bravo got to the Copa América Final
The three FC Barcelona players lead their teams into Saturday's Argentina–Chile title match Leo Messi, Javier Mascherano and Claudio Bra...



