Winga wa zamani wa timu ya taifa ya Uingereza na klabu ya Manchester United David Beckham usiku wa Septemba 1 alipewa Tuzo ya Heshima. Licha ya kuwa amestaafu bado mchango na uwezo wake aliyo uonyesha katika soka bado unatambulika na kuheshimika.
Hizi ni picha za tukio lenyewe mtu wangu
Tuzo hizo za 20 ambazo hujulikana kama Legend of Football Award alipewa na wanachama wa kamati ya Football Extravaganza na alipewa Tuzo hiyo katika ukumbi wa The Grosvenor House London usiku wa Septemba 1
Post a Comment