GARI LA MAJININi dunia yenye vitu vingi na ubunifu mwingi kwenye kila kona ya kitu unachokijua, yaani kuna watu kila siku wanaumiza vichwa kutengeneza pesa kwa njia ya kiubunifu zaidi ambapo hii ya magari yanayoweza kutembea juu ya maji ni mojawapo.
Watercar ni kampuni ya Marekani ambayo ilianzishwa mwaka 1999 ambapo mwaka 2013 kampuni hii ilitengeneza gari la kwanza la kibiashara.

GARI LA MAJINI 2

GARI LA MAJINI 3

    GARI LA MAJINI 4

GARI LA MAJINI 5


GARI LA MAJINI 6
     

Post a Comment

 
Top