Mh kweli kua Uyaone mwanangu, nikazani magorofa au Magari kumbe ni maisha... Hata kama wanasema Shida zinapo zidi ndio unakalibia kufika kwenye raha Mh this is Too much ila Its ok no Kurudi nyuma kwani nakumbuka neno la mwisho marehemu baba angu mdogo alinambia Kuwa "Wewe ni mtoto wakiume tena ndio mkubwa nyumbani wadogo zako wanakutazama kwa hiyo tia nia na Bidii katika kila jambo unalo fanya" Haya maneno huwa yanazunguka katika ubongo wangu nakunifanya nijiamini.
Napitia wakati mgumu sana ila najua nitashinda Mungu yupo pamoja na mimi.

Post a Comment

 
Top