MSHAMBULIAJI wa Tottenham Hotspur na Timu ya Taifa ya Togo, Emmmanuel Adebayor (31) amebadili dini kutoka Ukristu na kwenda Uislamu.
Video ya tukio hilo.
Staa huyo ambaye yupo nchini kwake Togo kwa likizo ya ugonjwa alifanya uamuazi huo juzi Jumapili katika sherehe iliyofanyika nchini humo.
Vyanzo vya habari vinaeleza kuwa staa huyo alifikia uamuzi huo ikiwa ni njia ya kumaliza migogoro katika maisha yake.
Siku za karibuni staa huyo amekuwa katika mgogoro mkubwa na familia yake.

Post a Comment

 
Top