PETR CECH ASAJILIWA ARSENAL KWA PAUNI 11 A+ A- Print Email Petr Cech akionyesha jezi ya Arsenal baada ya uhamisho wa pauni 11 na mshahara wake unatajwa kuwa ni pauni 100,000 kwa wiki.Akiwa katika mapozi.Petr Cech akifanya mahojiano na wana habari.
Post a Comment