Marehemu Florence F. Mtema enzi za uhai wake.
Kaka wa marehemu akiwa amebeba msalaba wakati mwili ukitolewa nyumbani.
Mwili wa marehemu ukiwekwa kwenye gari kupelekwa katika Kanisa Katoliki la Ukonga jijini Dar.
...Waombolezaji wakiondoka nyumbani kwa marehemu eneo la Gongo la Mboto.
Mwili wa marehemu ukiwa nyumbani.
Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers, Eric Shigongo akisalimiana na mke wa marehemu.
...Akisalimiana na mtoto wa marehemu, Imelda Mtema.
...Akiondoka nyumbani kwa marehemu.
(PICHA NA MAKONGORO OGING'/GPL)

Post a Comment

 
Top