Daniel Korona akisherehesha hafla fupi ya kumuaga Balozi wa Umoja wa Afrika aliyemaliza muda wake Mhe. Amina Salum Ali iliyoandaliwa na Jumuiya ya Diaspora kutoka Afrika wanaoishi Montgomery county iliyofanyika siku ya Jumatano Sept 2, 2015 Silver Spring, Maryland.Kulia ni mwongozaji maswali Bi. Sof...
MAMA SAMIA AWAHUTUBIA WANANCHI WA TEMEKE
Mgomea Mwenza wa Uraus kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wake wa kampeni aliofanya leo katika Kata ya Buza, jimbo la jijini Dar es Salaam.(Picha na Bashir Nkoromo)Wananchi wakimshangilia Mama samia kwenye mkutano huo.
RAIS KIKWETE AKUTANA NA SPIKA NA NAIBU SPIKA WA BUNGE LA BURUNDI IKULU
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na spika wa Bunge la Burundi Mhe.Paschal Nyabenda(kushoto) na Naibu Spika wa Bunge la Burundi Mhe.Agathon Rwasa muda mfupi baada kufanya mazungumzo ikulu jijini Dar es Salam leo mchana.Spika huyo na ujumbe wake walimtembelea Rais Kikwete Septemba 3, 2015.(Picha n...
Kua uyaone
Mh kweli kua Uyaone mwanangu, nikazani magorofa au Magari kumbe ni maisha... Hata kama wanasema Shida zinapo zidi ndio unakalibia kufika kwenye raha Mh this is Too much ila Its ok no Kurudi nyuma kwani nakumbuka neno la mwisho marehemu baba angu mdogo alinambia Kuwa "Wewe ni mtoto wakiume tena ...
MAMA ZARI AMALIZA UBISHI!
MAMA mkwe wa nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ ambaye pia ni mama mzazi wa mzazi mwenza wa staa huyo, Zarinah Hassan ‘The Boss Lady’, Halima Hassan amempigia chapuo msanii huyo kwa kumpa baraka zote kwamba ndiye baba mzazi wa mtoto Latiffah ‘Tiffa’.Mama mzazi wa Zarinah Hassan ‘The Boss L...
Diamond atoa sababu za kutomwonesha Tiffah
Diamond Platnumz ametoa sababu ya kwanini yeye na Zari wameamua kutomwonesha sura mtoto wao Tiffah mpaka siku arobaini (40) zipite.Mpaka sasa picha zote zaTiffah ambazo Diamond na Zari wanaziweka kwenye mitandao ya kijamii hazimuoneshi sura yake.Akizungumza kupitia kipindi cha Uhondo cha E-FM kinach...