Selfie ya utupu aliyoshare Kim Kardashian kwenye akaunti yake ya Instagram ili kuwajibu waliodhani anafake ujauzito , imempa ‘wazo’ Zari The Boss Lady a.k.a mama Tiffah la kufanya hako kamchezo atakapopata ujauzito mwingine na Diamond.
Kupitia Instagram Zari alishare picha ya utupu aliyopost Kim Kardashian na kuandika “mlisema nilikuwa mtupu kwenye photoshoot ya tumbo la ujauzito???? Hivi ndivyo picha ya utupu inavyokuwa”. Aliongeza “wakati ujao na mimi nitapiga za utupu”. Aliongeza kuwa Diamond ameanza kufikiria kupata naye mtoto wa pili.
“Wooooooiiiii did I hear that I was naked in my baby bump photoshoot???? Well well well, this is what naked looks like. Smh!!!! Way to go Kimmy next time am stripping too….. Baba T is thinking about a lil brother already”– Aliandika Zari.
Post a Comment