MKALI wa AfroPop kutoka nchini Nigeria, Ayodeji Balogun ‘Wizkid’ametenguliwa kuendelea kuwa Balozi wa Kampuni la MTN kama alivyokuwa hapo mwanzo.
“Kuna wasanii wengi sana wanaofanya vizuri nchini Nigeria tunawaomba waendelee kuweka kazi zao katika mitandao ya muziki muda ukifika tukiwahitaji tutawachukua,” alisema Iweanoge, msemaji wa MTN.
Post a Comment