Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Michezo Bibi. Juliana Yassoda (aliyekaa) akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Edinburgh (Edinburgh Global Partnership) walipmotembelea ofisini kwake leo.Wanafunzia wanasaidia ujenzi wa Viwanjwa viwili vya michezo ya Mipira ya Kikapu,Pete na Wavu vilivyogharimu zaidi ya shilingi milioni 33.Viwanja hivyo vimejengwa katika maeneo ya Vingunguti jijini Dar es Salaam chini ya usimamizi wa asasi isiyo ya Kiserikali ya Msimamo Youth Educator yenye maskani yake Vingunguti, jijini Dar es Salaam.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment