Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua mtambo wa kuchakata gesi unaojengwa na serikali kupiatia Shirika la Maendeleo ya Petroli nchini (TPDC) katika eneola Madimba mkoani Mtwara Julai 1, 2015. Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Mtwara, Halima Dendego. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wahadisi na mafundi wa Kichina wanaojenga mtambo wa kuchakata gesi kwa gharama za serikali kupiatia Shirika la Maendeleo ya Petroli nchini (TPDC) katika eneola Madimba mkoani Mtwara.
Post a Comment