Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mkurugenzi Shirika la Simu Tanzania TTCL, Dkt. Kamugisha Kazaura, wakati alipowasili Wilayani Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba Julai 3, 2015 kwa ajili ya Kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Jengo jipya la Ofisi za shirika hilo. Katikati ni Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof. Makame Mbarawa.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Simu Tanzania, TTCL, wakati alipowasili kwa ajili ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Jengo jipya la Ofisi za Shirika hilo Wilayani Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba.
akamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Jengo jipya la Ofisi ya TTCL, Wilayani Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba, Julai 3, 2015. (Picha na OMR).
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof. Makame Mbarawa,akizungumza.
Mkurugenzi Shirika la Simu Tanzania TTCL, Dkt. Kamugisha Kazaura, akizungumza.
Baadhi ya wawakilishi wa makampuni na Mashirika waliohudhuria hafla hiyo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof. Makame Mbarawa, kwa pamoja wakifunua kitambaa kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la ujenzi wa Jengo jipya la Ofisi ya TTCL, wakati wa hafla fupi iliyofanyika Julai 3,2015 Wilayani Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipata maelezo kuhusu ramani ya Jengo hilo la TTCL, kutoka kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Ujenzi ya ‘Quality Buildin Contractors Ltd’, Khamis Ally Shaibu, wakati wa hafla fupi ya uwekaji wa Jiwe la Msingi katika Jengo jipya la Ofisi ya TTCL, iliyofanyika Julai 3, 2015 Wilayani Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba. Kulia kwa Makamu ni Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof. Makame Mbarawa.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Viongozi na Wafanyakazi wa TTCL, baada ya hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Jengo jipya la Ofisi ya Shirika la Simu Tanzania TTCL, iliyofanyika Julai 3, 2015 Wilayani Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba. (Picha na OMR).
Post a Comment