flo-rida
Tukisema tuwataje wasanii wanaotamba kwa kutoa club banger baada ya club banger jina la Flo Rida litakuwa moja kati ya majina kwenye list. Baada ya kutuburudisha na hit song yake GDFR (Going Down For Real) Flo Rida amerudi tena kwenye headlines na raundi hii hayuko peke yake.
Safari hii ameshirikiana na hit makers wengine, Robin Thicke na Verdine White pamoja wanakuletea wimbo mpya unaoitwa I Don’t Like It, I Love It video iliofanyika kitaani New York.
Kama bado hujapata nafasi ya kuitazama video hiyo,nimekusogezea hapa chini bonyezaPlay kuitazama.

Post a Comment

 
Top