Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa Mshindi wa Shindano la TMT 2015 #mpakakieleweke Dennis Lwasai wakiwa na bango linalomwelezea mahindi huyo wakati walipojitokeza kumpokea wakati akirejea nyumbani kwao Mambogini MoshiMshindi wa TMT 2015 #mpakakieleweke Dennis Lwasai akiwasalimia wakazi wa mji wa Moshi waliokuwa wakimpongeza wakati akirejea kwao MamboWakiendelea kumpongeza
Wakitoa Mkono wa pongezi kwa mshindi wakati akipita kuelekea nyumbani kwaoAkipongezwa na wadau wakeKwa hisia huku akifurahiAlipokelewa hivi na vijana wenzieKila Kona walijitokeza wadau kumpongeza
Ndugu, Jamaa na marafiki wakimpokea mshindi wao na kumpongeza kwa kuibuka mshindi na kuiwakilisha kanda ya kaskazini vyemaMama Mzazi wa Mshindi wa TMT 2015, Dennis Lwasai akimkumbatia mwanae na kumpongeza kwa kuibuka kinara wa TMT 2015 na kuondoka na kitita cha Shilingi Milioni 50 za kitanzaniaMama mzazi wa mshindi wa TMT 2015 Dennis Lwasai akitoa maneno ya shukrani kwa vijana na watu waliojitokeza kumpokea Dennis wakati akirejea kwao Moshi hapo jana
Dennis Lwasai mshindi wa shindano la tmt 2015 #mpakakieleweke akitoa maneno ya shukrani kwa vijana na watu wote waliojitokeza kumpokea mapema jana wakati akirejea nyumbani Kwao Moshi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment