Msimu wa pili wa Empire utakuwa na mastaa mbalimbali akiwemo aliyekuwa muimbaji wa Destiny’s Child, Kelly Rowland ambaye atacheza kama mama wa Lucious Lyon (Terence Howard).
Kelly Rowland kwenye scene ya Empire
Hii ni picha ya kwanza ya scene aliyocheza Kelly kama mama wa Lucious (katika scene za flashback) inayomuonesha akiwa amempakata Lucious katika msimu wa pili wa Empire.
Msimu mpya wa Empire utazinduliwa rasmi September 23, 2015.
Post a Comment