forbes highest paid actresses
Hivi karibuni jarida la Forbes limetoa orodha mpya ya waigizaji wa kike wanaolipwa fedha nyingi zaidi duniani 2015.
Nafasi ya kwanza katika orodha hiyo imechukuliwa na staa wa “Hunger Games”, Jennifer Lawrence aliyetengeneza $52 million kwa miezi 12 iliyopita.
Ifuatayo ni Top 10:
1. Jennifer Lawrence: $52 million
jennifer-lawrence
2. Scarlett Johansson: $35.5 million
f2
3. Melissa McCarthy: $23 million
f3
4. Fan Bingbing: $21 million
fan
5. Jennifer Aniston $16.5 million
f5
6. Julia Roberts: $16 million
f6
7. Angelina Jolie: $15 million
f7
8. Reese Witherspoon $15 million
f8
9. Anne Hathaway $12 million
f9

10. Kristen Stewart $12 million
f10

Post a Comment

 
Top