Washiriki katika Banda la Wizara ya Nishati na Madini wakiwa katika picha ya pamoja huku wakiwa wameshikilia kombe na cheti mara baada ya Wizara hiyo kuibuka mshindi wa kwanza katika kundi la Wizara na Wakala wa Serikali kwa mwaka 2015 katika Maonesho ya Kimataifa ya Sabasaba ( Dar es Slaam International Trade Fair (DITF) yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.

Washiriki katika Banda la Wizara ya Nishati na Madini kutoka Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGM) wakiwa katika picha ya pamoja na kombe pamoja na cheti cha ushindi.
Post a Comment