Masinde Bwire, kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais- Mazingira akiwasilisha mada juu ya mabadiliko ya TabiaNchi kwenye warsha ya Wadau kuhusu mipango ya kuhimili mabadiliko ya tabianchi iliyoandaliwa na Ofisi ya Makamu wa Rais.
Profesa Kangarawe akiwasilisha mada katika warsha hiyo mjini Bagamoyo
Wadau waliohudhuria wrsha hiyo wakifuatilia kwa makini uwasilishaji mada juu ya mabadiliko ya Tabia Nchi.
Wajumbe waWarsha hiyo wakiwa katika magrupu kwa ajili ya kujadili kile walichofundishwa katika warsha hiyo.
Post a Comment