Wapenzi wasomaji wa makala hi ya urembo leo nitaelekeza jinsi ya kukuza nywele kwa kutumia asali iliyochanganywa na muarovera .
Mara nyingine wanawake wamekuwa wakitumia kias kikubwa cha pesa katika kuhakikisha nywele zao zinakuwa ndefu na kupendez a.umaidadi wa nywele ndicho kivutio kikubwa kwa mwanamke anaye jipenda ,gharama za kutunzwaji wa nywele zinakuwa kubwa kutokana na matunzo.
Gharama za matunzo ya nywele sio wanawake wote wanaweza kuzimudu , na watakao zimudu ni wale wenye kipato kikubwa cha pesa kwani mwanamke ataitajika kwenda saluni mara kwa mara ili kuweka stiming.Kutunza nywele kwa gharama iliyo ndogo inawezekana kama mtu atakuwaa akitunza nywele izo kwa kuumia vitu vya asili.
Muarovera ni mmea ambao hutumika katika kutibu magonjwa mbalimbali ambayo pia ni dawa ya kula,Pia uimarisha nywele na kuzipa chakula ,, jinsiya kutengeneza asali iliyo changanywa na muarovera,.
HATUA.
- Chukua asali mimina katika chombo kisafi.
- Twanga majani ya muarovera mpaka yalainike kama maji katika majani ya muarovera na asli kasha koroga pamoja.
- Kata mistari katika nywele zako ambazo bado hauja ziosha .weka mchanganyiko huo katika kila kona ya mistari iliyo ikata.
- Hakikisha katika ngozi ya kichwa mchanganyiko huo umefika.
- Kaa kwa muda wanusu saa.
- Osha nywele zako kwa kutumia maji safi na sabuni ya nywele( Shapoo)
- Angalia nywele zitakapo kauko uzipake mafuta mepesi (mafuta mepesi)unaweza kusuka au kufanya vyovyote unavyo jisikia , mchanganyiko huo haubagui nywele.
Post a Comment