Home
»
Photos
» Marufuku kuingia na hivi ndaniya bustani za Disney
Huruhusiwi kuingia na viatu vyenye matairi.
Wale wa Selfiestick tafadhali, ni bora ukaiacha home au kwenye gari yako.. Ndani ya Disney Park ni MARUFUKU !!
Kuna watu huwa wanatembea na pingu zao, huruhusiwi kuingia nayo kwenye bustani hiyo.
Selfie stick zilipigwa marufuku ndani ya Disney Them Park, Marekani.. walikuwa serious kabisa kwenye hii ishu, walizuia ili kuepusha mazingira ya uharibifu wa pichaz na vitu vingine vya kuvutia ambavyo vimening’inizwa juu kwenye garden hiyo ambayo ina vitu vya burudani pia kama vile michezo ya watoto.
Hawajaishia kwenye selfie stick pekeake, hii ndio list ya vingine ambavyo ni MARUFUKU kuingia navyo ndani ya hifadhi hiyo!
Mambo ya kuvaa vinyago
Post a Comment