Alikiba ni msanii mkubwa wa Bongo Flava ambae anafanya vizuri kimuziki na ukitembelea mitandao ya kijamii ya Alikiba utaona ya kuwa ana mashabiki wengi wanaomfuatilia kupitia mitandao hiyo.
Lakini ulishawahi kuwaza au kujiuliza kwanini msanii huyu wa bongo flava hajamfollow mtu yeyote kwenye page yake ya Instagram? Sababu zake ni zipi? Nimekutana na post ya Instagram kwenye page ya Mseto East Africa ambao walikaa na kupiga stori naAlikiba na kumuuliza swali hili.
Kwenye post hiyo Alikiba alikuwa na haya ya kusema.
Post a Comment