Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, akimkabidhi Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara , Rajabu Ruhavi (kushoto) fomu ya kugombea urais Mjini Dodoma jana.
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, akizungumza na waandishi wa habari Mjini Dodoma jana baada ya kurejesha fomu za kugombea urais. Kushoto ni Mwanasiasa Mkongwe Kingunge Ngombale Mwiru na Mke wake Regina Lowassa.
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, akiwa katika picha ya pamoj na Wenyeviti wa Mikoa wa CCM baada ya kurejesha fomu za kugombea urais Mjini Dodoma jana.
Post a Comment