July 3 2015 imekuwa siku nyingine ambayo kikao cha bunge Dodoma hakijaisha kwa amani, Wabunge wa Upinzani kwa mara nyingine walipinga Bunge kuendelea kujadili miswada ambayo iliwasilishwa.
“Baada ya Kikao cha Bunge kuahirishwa asubuhi, Jioni Kikao kiliendelea tena ambapo kwanza ilisomwa taarifa kuhusu ishu ya utata uliotokea Bungeni kuwasilishwa kwenye Kamati ya Maadili na yakatolewa maamuzi ya Kamati hiyo.” hayo maneno ameyasema Mwenyekiti wa Kamati, Hassan Ngwilizi
Sikiliza hapa>>>

Post a Comment

 
Top