Hii ndio salon mpya itakayotumika katika msimu mpya wa Mkasi unaotarajia kuanza hivi karibuni, ni saluni ya kisasa sana, na itakibadilisha kipindi hiki kuwa cha kipekee na aina yake.
Ni Ubunifu wa aina yake uliotumika katika kutengeneza Salon hii ya kisasa ambayo itakuwa special kwa ajili kutengeneza Vipindi vya Mkasi katika msimu mpya Hivi karibuni.Kuna vipindi kadhaa vimesharekodiwa tayari, Hapo juu ni sholole akiwa nahojiwa katika salon hii mpya.
Post a Comment